Search

163 results for Mary Sanyiwa :

  1. Mwanafunzi ajinyonga baada ya mpenzi wake kukamatwa

    Amejinyonga katika mti ulio jirani na nyumba yao akitumia ushungi

  2. Mvua, uzito wa magari ya mizigo unavyoharibu barabara Mufindi

    Ametaja barabara zitakazojengwa kwa lami kuwa ni Nyololo - Mtwango, Mafinga - Mgololo na Igomaa - Kinyanambo A.

  3. Mahakama yataifisha V8 iliyosafirisha wahamiaji haramu

    Washtakiwa waukumiwa kulipa faini ya Sh500,000 au kifungo cha miaka mitatu jela, waenda gerezani kwa kushindwa kulipa faini.

  4. Wawili mbaroni Iringa kwa wakidaiwa kusafirisha maboksi 56 ya vipodozi feki

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema vipodozi hivyo vimekamatwa kwenye basi linalomilikiwa na Kampuni ya Rungwe

  5. Wahamiaji haramu 16 kutoka Ethiopia wadakwa Mufindi

    Jeshi la polisi mkoa wa Iringa limefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 16 raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali.

  6. Wahamiaji haramu wengine 16 wakamatwa Mufindi, gari yenye namba za Serikali yatumika

    Polisi wamtaja mmiliki wa gari, wamsaka pamoja na dereva aliyewabeba wahamiaji hao.

  7. Ajali sasa tishio Mkoa wa Pwani

    Miongoni mwa ajali hizo ni ile iliyotokea asubuhi ya leo Machi 29, 2024 na kusaba-bisha vifo vya mashabiki wawili wa klabu ya soka ya Simba.

  8. Polisi wadaka wawili wakisambaza Smart Gin bandia

    Watuhumiwa katika tukio hilo wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa.

  9. Atupwa jela maisha kwa kumnajisi mtoto wa miaka minane

    Mshtakiwa alimfuata akiwa ameshika soda na kumpa, kisha akaondoka naye hadi kichakani na kumbaka.

  10. Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wa kaka yake

    Hakimu amesema tukio hilo limetokea Desemba 12, 2023 mchana huko Kijiji cha Luholofu, Kata ya Mgololo, baada ya mtoto huyo kutumwa shambani na mama yake kwenda kuchukua maharage, lakini wakati...

Page 1 of 17

Next